
DUH! RONALDO AAMBIWA NI MZEE SANA
MASHABIKI wa Manchester United wameanza kuwa na hofu kubwa siku chache kabla kocha mpya hajaanza kufundisha timu hiyo ambayo jana ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. United inatarajiwa kufundishwa na kocha Ralf Rangnick ambaye anatarajiwa kukaa kwenye timu hiyo hadi mwisho wa msimu wa 2021/22. Kocha…