SIMBA DAY NI AGOSTI 8,2022

 AGOSTI 8,2022 inatarajiwa kuwa siku rasmi ya Simba Day ambayo itafanyika Uwanja wa Mkapa. Siku hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo ambayo kwa sasa ipo chini ya Kocha Mkuu,Zoran Maki. Timu hiyo imeweka kambi nchini Misri ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi…

Read More

KAMBI YA YANGA RAMANI INACHORWA HIVI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa wanafanya vikao kuweza kujadili wapi wataweka kambi kwa msimu wa 2022/23. Awali mpango namba moja wa Yanga kuweka kambi ulipaswa kuwa nchini Uturuki lakini umeyeyuka ghafla kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni muda kuwa mdogo. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga,Hassan Bumbuli ameweka wazi kuwa kambi…

Read More

MNIGERIA WA SIMBA AWAPIGA MKWARA YANGA

KIUNGO mpya wa Simba, Mnigeria, Victor Akpan, ameanza kwa kuwachimba mkwara wapinzani wao Yanga kwa kuwaambia kuwa wasubirie moto wake katika mchezo wa Ngao ya Jamii ili apunguze maumivu ya kukosa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) akiwa na Coastal Union. Kiungo huyo amejiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili akitokea…

Read More

MALALE HAMSINI YATIMIA BAADA YA MUDA MREFU

RASMI uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara umethibitisha kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa msimu wa 2021/22. Ikumbukwe kwamba Januari 11,2021 uongozi wa Polisi Tanzania ulibainisha kuwa kocha huyo Malale Hamsini ataendelea kuwa kocha wa timu hiyo baada ya taarifa kuripotiwa kwamba amefutwa kazi. Hatimaye yametimia leo…

Read More

BEKI YASSIN AJIUNGA NA SINGIDA BIG STARS

 YASSIN Mustapha leo Julai 18,2022 ameweza kutambulishwa kuwa ni mali ya Klabu ya Singida Big Stars. Beki huyo msimu wa 2021/22 alikuwa anakipiga ndani ya mabingwa wa ligi ambao ni Yanga. Ni dili la miaka miwili ameweza kusaini kuweza kupata changamoto mpya katika timu mpya ambayo atakuwa anacheza kwa msimu ujao. Kwa mujibu wa Ofisa…

Read More

NGOMA NZITO KWA MANZOKI KUTUA SIMBA

KLABU ya Simba ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha inamalizana na straika wa Vipers, Cesar Manzoki ambaye mkataba wake umebaki miezi miwili, huku miamba ya Uganda ikigoma kumuachia ikidai shilingi milioni 100.  Manzoki ni miongoni mwa wachezaji ambao walitarajiwa kuungana na kikosi cha Simba kilichoweka kambi nchini Misri kujiandaa na msimu ujao wa 2022/23, lakini hadi…

Read More

BEKI APEWA MKATABA MGUMU AKUBALI KUSAINI JANGWANI

MABOSI wa Yanga wamempa mkataba mgumu wa mwaka mmoja wenye masharti beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ hiyo ikiwa ni siku chache tangu beki huyo atambulishwe kuendelea kubakia kuichezea timu hiyo. Awali, beki huyo alikuwa katika mipango ya kuachwa pamoja na baadhi ya wachezaji akiwemo Yassin Mustapha, Deus Kaseke na Paul Godfrey ‘Boxer’. Taarifa…

Read More

MVP BANGALA DAKIKA ZAKE BONGO KWENYE LIGI

YEYE ni mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 ambapo kasepa na tuzo tatu mazima msimu huu. Ni tuzo ya kiungo bora baada ya kuwashinda Feisal Salum na Salum Abouhakari,’Sure Boy’ ,mchezaji bora baada ya kuwashinda Henock Inonga wa Simba nan a Fiston Mayele wa Yanga. Ile tuzo yake ya tatu ni…

Read More

BANDA APATA TIMU AFRIKA KUSINI

 MTANZANIA Abdi Banda amepata changamoto mpya kwa ajili ya kuonyesha uwezo wake kwa msimu mpya wa 2022/23. Banda ambaye ni nyota wa zamani wa Baroka FC ya Afrika Kusini amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea timu ya Chippas United inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini.  Kabla ya kujiunga na Chippas Banda aliwahi kukipiga pia Highland…

Read More