HAJI MANARA:TUMEJIPANGA KUSHINDA MBELE YA AZAM

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanaamini mchezo wao dhidi Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 30 utakuwa na ushindani mkubwa ila wamejipanga kupata pointi tatu muhimu. Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Serena Hotel, Manara amesema kuwa wanatambua mchezo utakuwa na ushindani kwa kuwa wanakutana na timu imara….

Read More

GOMES AFUNGUKA KILICHOMUONDOA SIMBA – VIDEO

ALIYEKUWA kocha mkuu wa Simba, Didie Gomes amesema ameomba kujiondoa kwenye klabu hiyo baada ya kushinfwa kufikia malengo kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika. “Ninapenda kuwa muwazi kwa mashabiki na wapenzi wa mpira nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu nafasi yangu ya Ukocha Mkuu wa Simba Sc kwa sababu ninaamini ndiyo maamuzi sahihi kwa manufaa ya klabu.”…

Read More

BREAKING: SIMBA YATIMUA MAKOCHA WAKE WATATU

   KLABU ya Simba imetangaza kuachana rasmi na Kocha wake Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa baada ya pande zote mbili kufikia maridhiano. Hatua hii inakuja ikiwa ni siku mbili tangu Simba alipoondoshwa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kupokea kichapo cha bao 3-1 kutoka kwa Jwaneng Galaxy ya Botswana, juzi…

Read More

MAKOCHA SIMBA KUPIGWA CHINI

MAMBO ni magumu kwenye benchi la ufundi la Simba linaloongozwa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ambapo inaelezwa kuwa muda wowote ule wanaweza kuchimbishwa. Mpaka wakati huu makocha wa timu hiyo ikiwa ni Gomes pamoja na Hitimana Thiery ambaye ni kocha msaidizi wa timu hiyo hawajui hatma yao kama wataendelea kubaki ama la. Ilikuwa ni Oktoba…

Read More

SIMBA MATUMAINI MAKUBWA NDANI YA LIGI KUU BARA

KOCHA msaidizi wa Simba, Hitimana Thiery amesema kuwa watarudi kwa nguvu zote kuhakikisha kuwa wanafanya vizuri katika michezo ya ligi kuu mara baada ya kumaliza ratiba yao ya michuano ya ligi ya Mabingwa. Simba mpaka sasa katika michezo ya ligi kuu imefanikiwa kucheza michezo miwili pekee dhidi ya Biashara United na Dodoma Jiji ambapo wamefanikiwa…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU AZAM FC

OFISA Habari wa Yanga,Haji Manara amesema kuwa licha ya kutambua ubora wa Azam FC lakini anaamini kuwa kikosi cha Yanga kina uwezo mkubwa wa kuondoka na ushindi mbele ya Azam FC. Yanga Oktoba 30, katika Uwanja wa Benjamini Mkapa watakuwa na kibarua cha kucheza na Azam FC huku wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza kwa bao…

Read More

POLISI TANZANIA YAWAPIGA MKWARA MABINGWA

UONGOZI wa Polisi Tanzania umeweka wazi kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Oktoba 27 wataendelea pale ambapo wameishia kwa kucheza pira chukuchuku ili waweze kusepa na pointi tatu muhimu. Vinara hao wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi tisa kibindoni baada ya kucheza mechi tatu na kutupia mabao matano…

Read More

MWIJAKU AHADI YAKE MPAKA MWANASHERIA

MHAMASISHAJI wa Klabu ya Simba ambaye pia ni mtangazaji Mwijaku ameweka wazi kuwa hawezi kuzungumza ishu yoyote ile kuhusu ahadi yake ya kuweza kutembea bila nguo ambayo aliweza kuiweka hivi karibuni. Shabiki huyo wa Simba aliweka ahadi kwamba ikiwa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes itafungwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika angeweza…

Read More

SIMBA YAFUNGUKIA KASI YA YANGA

MWENYEKITI wa Simba, Murtaza Mangungu, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia wasiogope kasi ya wapinzani wao Yanga huku akiahidi kuubakisha ubingwa wa Ligi Kuu Bara Msimbazi.   Kauli hiyo ameitoa baada ya kuiona Yanga ikiwa kileleni ikiwa na pointi tisa, ikishinda michezo yakemitatu ya ligi katika msimu huu. Simba yenyewe imecheza michezo miwili kati ya hiyo wametoka suluhu na Biashara United huku ikiwafungaDodoma Jiji bao 1-0, lililofungwa na Mnyarwanda, Meddie Kagere. “Mechi…

Read More

SENZO AKUBALI UWEZO WA NABI

KAIMU Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingisa amesema kuwa kila sikuanazidi kufurahishwa na utendaji kazi na juhudi kubwa inayoonyeshwa na wachezaji wa timu hiyo kuwa ni kazikubwa inayofanywa na benchi la ufundi chini ya kocha Nabi. Katika msimu huu, Yanga ilianza kwa kutwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii na hadi sasa Yanga imekaa kileleni katika msimamo wa ligi Kuu kwa pointi tisa katika michezo yote mitatu iliyocheza.  Senzo amesema kuwa shukrani…

Read More

HAJI MANARA AFUNGUKIA ISHU YA TUZO

OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amefunguka baada ya kubwagwa kwenye tuzo za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) msimu wa 2020/21, kipengele cha Muhamasishaji Bora. Tuzo hiyo ilikwenda kwa shabiki kindakindaki wa Taifa Stars, Nick Renold maarufu kama Bongo Zozo, ambaye aliwashinda Manara na Masau Bwire wa kKlabu ya Ruvu Shooting. Manara ambaye alikuwa akiwania…

Read More

HAJI MANARA ATUMA DONGO KIMTINDO SIMBA

BAADA ya kikosi cha Simba kufungashiwa virago leo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa Uwanja wa Mkapa kwa kufungwa mabao 3-1 Haji Manara alaiyekuwa Ofisa Habari wa timu hiyo ametupa dongo kimtindo. Manara kwa sasa yupo zake ndani ya Yanga akiwa no Ofisa Habari wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa…

Read More

SIMBA YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  TIMU ya Simba imetolewa rasmi kwenye michuano ya Ligi Mabingwa Afrika baada ya kufungwa Jwaneng Galaxy kwa mabao 3-1, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.   Simba ambayo ilianza vema kipindi cha kwanza ilienda mapunziko ikiwa mbele kwa bao 1-0 goli la Larry Bwalya, lakini Galaxy waligeuza kibao kupachika magoli 3.   Matokeo…

Read More

SIMBA YAPEWA ONYO NA YANGA KIMATAIFA

KOCHA wa Yanga Princes Mohamed Hussein, ‘Mmachinga’ amewapa onyo Simba kuelekea mchezo wao wa leo Oktoba 24 dhidi ya Jwaneng Galax kwa kuwataka kucheza kwa kujilinda na kusaka ushindi mapema ili kuongeza hali ya kujiamini. Akizungumza na Saleh Jembe, Mmachinga alisema kuwa ushindi wa ugenini ni ishara mbaya kwamba hata wao wanaweza kufungwa wakiwa nyumbani…

Read More

AKILI KUBWA KUIMALIZA JWANENG GALAXY KWA MKAPA

BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa kazi bado inaendelea kuelekea kwenye mchezo wao wa marudio dhidi ya Jwaneng Galaxy unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa leo. Katika mchezo wa uliochezwa Uwanja wa taifa wa Botswana, Simba ilishinda kwa mabao 2-0 hivyo ina mtaji wa mabao kibindoni jambo linalowapa hali ya kujiamini kuelekea kwenye mchezo wao…

Read More