TANZIA:MAUNDA ZORRO ATANGULIA MBELE ZA HAKI

MSANII wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari, usiku wa kuamkia leo, April 14, 2022 baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga Kigamboni, Dar es Salaam. Kaka wa marehemu ambaye pia ni msanii wa Bongofleva, Banana Zorro, akizungumza na chombo kimoja cha habari, amethibitisha…

Read More

MAYELE ALIKUWA KWENYE HESABU ZA SIMBA

IMEELEZWA kuwa mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Yanga, Fiston Mayele alikuwa kwenye hesabu za mabingwa watetezi Simba. Nyota huyo ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga na amekuwa kwenye mwendo mzuri wa kucheka na nyavu huku akikubalika na mashabiki wengi ikiwa ni pamoja na wale wa Simba. Mtindo wake wa kutetema umekuwa…

Read More

RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU BARA

BODI ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imepanga na kutangaza tarehe za mechi ambazo awali zilikuwa hazijapangiwa tarehe zake na imeweka wazi kwamba itaendelea kuzipangia tarehe mechi zote ambazo kwenye ratiba iliyoanza lakini hazikupangiwa tarehe. Ratiba ipo hivi:- Aprili 23,2022 Yanga v Namungo FC, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku Mei 5,2022 Biashara United v Dodoma…

Read More

PRISONS YASHINDA BAADA YA SIKU 100

KLABU ya Tanzania Prisons ilikuwa kwenye kipindi cha mpito kwenye maisha yake ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na kushindwa kuvuna pointi tatu kwenye mechi ambazo walikuwa wanacheza. Katika Ligi Kuu Bara ni timu ambayo ilikuwa kwenye nafasi ya 16 mpaka mzunguko wa kwanza ulipokamilika na sasa ni safari ya mzunguko wa pili umeanza. Kwa…

Read More

BEKI WA ORLANDO PIRATES AKIMBIZWA HOSPITALI

BEKI wa Orlando Pirates, Paseka Mako alikimbizwa Hospitali kupewa huduma jana Aprili 12 baada ya kupata majeraha walipogongana na kipa Richard Ofori kwenye mchezo wa DStv Premiership dhidi ya Baroka FC uliochezwa Uwanja wa Peter Mokaba. Ilikuwa ni kwenye muda wa nyongeza ambapo beki huyo aliweza kugongana na mchezaji mwenzake ambaye ni kipa Ofori aliyekuwa…

Read More

SIMBA YAGOMEA VITOCHI VILE VYENYE MWANGA MKALI

UONGOZI wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umepiga marufuku Tochi za miale ya kijani, ambazo zimekua zikitumiwa na Mashabiki kuwamulika wachezaji wanapokua kwenye makujumu yao Uwanjani. Simba SC imepiga marufuku Tochi hizo, kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates utakaopigwa Jumapili (April 17), Uwanja…

Read More

MZEE MAKOROKOCHO AJIBU NI MBILI TU

NYOTA Ibrahimu Ajibu mzee wa makorokocho rekodi zinaonyesha kuwa alijenga ushikaji akiwa ndani ya Simba kwa kuwa aliweza kucheza mechi mbili pekee. Ajibu hakuwa ni chaguo la kwanza mbele ya Kocha Mkuu, Pablo Franco ambaye alikuwa akiweka wazi kwamba nyota huyo ni moja ya viungo wenye uwezo mkubwa. Akiwa ndani ya kikosi cha Simba kiungo…

Read More

MAYELE ALIWEKWA MTU KATI UWANJA WA MKAPA NA NYOSSO

FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga aliwekwa mtu kati juzi mbele ya Geita Gold baada ya kukabidhiwa kwenye mikono salama ya Kelvin Yondan na Juma Nyosso ambao walikula naye sahani moja. Mzee huyo wa kutetema aliyeyusha dk 90 mazima bila kutetema huku kila hatua ambayo anakwenda nyuma alikuwa yupo Nyosso ama Yondani kwa ajili ya kwenda…

Read More

SIMBA WATAJA SABABU YA KUSHINDWA KUPATA MATOKEO

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna ugumu mkubwa wa kupata matokeo kutokana na ubora wa viwanja pamoja na kushindwa kutumia nafasi ambazo wanazipata. Mechi mbili ugenini, Pablo kaambulia pointi nne huku akipoteza pointi mbili kwenye msako wa pointi sita, mchezo wake ujao ni dhidi ya Orlando Pirates ambao wa ni wa Kombe…

Read More

SIMBA HESABU ZAO KUTINGA FAINALI ZIPO HIVI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kuweza kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika hivyo watahakikisha wanashinda hatua ya robo fainali ili kuweza kutinga hatua ya nusu fainali kisha fainali ili kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika. Ofisa Habari wa Simba,Ahmed Ally amesema kuwa benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco na Seleman…

Read More