
FEI TOTO,AUCHO WAONGEZEWA DOZI KISA SIMBA
KATIKA kuhakikisha kikosi chake kinaimarika katika kila idara, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amewaongezea program ya mazoezi wachezaji wake wakiongozwa na Khalid Aucho na Feisal Salum ‘Fei Toto’. Yanga Jumanne iliibukia Shinyanga kuendelea na kambi ya maandalizi ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Simba utakaochezwa CCM…