
VIDEO:MWAKINYO AZUNGUMZIA REKODI YAKE
MZAWA Hassan Mwakinyo ambaye ni bondia wa ngumi za kulipwa ameweka wazi kuwa rekodi zake ambazo anaweka ni kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwa alikuwa hajawahi kufikiria jambo hilo
MZAWA Hassan Mwakinyo ambaye ni bondia wa ngumi za kulipwa ameweka wazi kuwa rekodi zake ambazo anaweka ni kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwa alikuwa hajawahi kufikiria jambo hilo
NAMNA mastaa wa Simba, Sadio Kanoute, Joash Onyango, Inonga walivyofika kufanya mazoezi ya mwisho kabla ya kusepa Bongo kuelekea Angola kuikabili se Agosto
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amebainisha kuwa hawakusita kufika eneo la watato waliokuwa wakihitaji msaada ikiwa ni kwa ajili ya kuhudumia watu hao
GAEL Bigirimana kiungo wa Yanga amesema kuwa mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi kesho, Uwanja wa Mkapa kuwapa sapoti kwenye mchezo dhidi ya Al Hilal ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika
MASTAA watatu wa Simba kesho wanatarajiwa kutokuwa sehemu ya msafara utakaolekea nchini Angola kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto. Alfajiri ya Jumamosi, kikosi cha Simba kinachonolewana Kocha Mkuu, Juma Mgunda kinatarajia kuanza safari kuelekea Angola kwa ndege ya kukodi. Leo Ijumaa, Oktoba 7,2022 kikosi hicho kimefanya mazoezi ya…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wanatambua mchezo wao wa kesho utakuwa mgumu lakini wao hawaongei sana zaidi ni kutafuta matokeo. Yanga itawakaribisha Al Hilal kwenye mchezo wa raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika. Kocha huyo amebainisha kuwa maandalizi ambayo wameyafanya yanawapa imani ya kupata matokeo kwenye mchezo wao. “Sisi hatuongei…
TIMU mbili Bongo zinazoshiriki Ligi Kuu Bara zimekutana na rungu la kufungiwa kufanya usajili kwa dirisha moja kutokana na makosa ambayo wamefanya. Taarifa iliyotolewa leo Oktoba 7,2022 na TFF, imeeleza namna hii:-“Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF), imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara za…
HIKI hapa kikosi kazi cha Azam FC ambacho kipo Libya kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Akhdar ya Libya. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho, Oktoba 8,2022. Ali Ahmada, Ahmed Salula, Zuber Foba ni kwa upande wa makipa. Mabeki ni Lusajo Mwaikenda, Nathan Chilambo, Bruce Kangwa, Agrey Moris,…
Ni muendelezo wa Ligi mbalimbali wikiendi hii, kwenye Epl Chelsea watarudi uwanjani kukipiga na Wolves siku ya Jumamosi kwenye dimba la Stamford Bridge, Chelsea wamekuwa na matokea mazuri kwenye mechi zao za nyuma, atakutana na Wolves aliyeshinda mechi moja tu kwenye Ligi. Weka utabiri wako na Meridianbet Jini la kufunga mabao litakuwa uwanjani tena…
KALLY Ongala, kocha wa washambuliaji wa Azam FC ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi yao ya kimataifa dhidi ya Al Khadar ya Libya. Azam FC imewasili nchini Libya ikiwa na msafara wa wachezaji 25 miongoni mwao ni washambuliaji wawili, Idris Mbombo na Prince Dube. Pia kiungo Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ni miongoni mwa…
MATAJIRI Yanga wavamia kambini, Mgunda aitaka rekodi ya Waangola kibabe ndani ya Championi Ijumaa
WAPINZANI wa Yanga kimataifa ni Al Hilal tayari kwa sasa wapo Bongo cheki namna walivyotua kutoka kwenye Air Tanzania
KOCHA Mkuu wa Al Hilal, Ibenge amewataja tayari yupo Bongo na mchezo wake ujao kimataifa ni dhidi ya Yanga, Oktoba 8, Uwanja wa Mkapa ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika
SHABIKI wa Simba maarufu kwa jina la Issa Azam amempa pongezi Kocha Mkuu wa Simba Juma Mgunda kwa kusema kuwa anafanya kazi ambayo inaonekana na hajafungwa
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amebainisha kuwa Yanga ni kubwa kuliko Al Hilal, Jumamosi, Yanga itamenyana na Al Hilal, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 8 ambapo amesema kuwa kiingilio kimeshshuwa ili kuhakikisha kila shabiki anafika kuishangilia timu hiyo
STAA wa Azam FC, Ibrahim Ajibu anaishi kwenye ulimwengu wake ndani ya kikosi hicho kwa kuwa tangu amejiunga na matajiri hao wa Dar hana uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza. Ajibu aliibuka Azam FC akitokea Simba aliahidi kuwa atafanya jitihada kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo pamoja na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa…
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa makossa ambayo waliyafanya msimu uliopita kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na kutolewa mapema yamewapa hasira ya kupambana kuyafuta. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2021/22 kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga ilifungashiwa virago hatua ya awali kwa jumla ya mabao 2-0 dhidi ya Rivers United. Kaze amesema kuwa wanatambua…