GEITA GOLD 0-2 SIMBA

 MABAO mawili yamepachikwa ndani ya dakika 45 za mwanzo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Mwanza. Ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba unasoma Geita Gold 0-2 Simba. Ni John Bocco nahodha wa Simba amepachika bao la kuongoza dakika ya 11 kisha kamba ya pili ni mali ya Clatous Chama. Chama amepachika bao hilo dakika ya…

Read More

AZAM FC YAJIVUNIA POINTI ZAO ZA KARIAKOO

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa umezifungia pointi za vigogo wa Kariakoo,Yanga na Simba za mzunguko wa kwanza wanasubiri nyingine. Azam chini ya Kali Ongala imekuwa na mwendo bora ambapo kwenye mechi 8 mfululizo ilisepa na pointi 24 imeanza mzunguko wa pili kwa sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar.  Ofisa Habari…

Read More

HELLO, MWENDELEZO WA MAYELE SOMO KWA WAZAWA

MWENDELEZO mzuri wa kucheka na nyavu upo kwenye miguu ya Fiston Mayele kinara wa utupiaji mabao ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ametupia mabao 11. Alipowatungua Polisi Tanzania hakushangilia kwa mtindo wake wa kutetema bali alionekana kwa kitendo chake akipiga simu kisha akaongea na kuanza kushangilia. Wanasema alikuwa anawapigiwa watani zake wa jadi pale Mwanza…

Read More

YANGA YAMPA MKATABA WA KUFURU LUIS MIQUISSONE

WAKATI Klabu ya Simba ikiendelea kupewa asilimia nyingi za kumrejesha winga wao wa zamani raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, uongozi wa Yanga, umedaiwa kuvamia dili hilo na kutaka kumshusha mwamba huyo Jangwani. Luis aliachana na Simba Agosti 26, mwaka jana na kujiunga na timu ya Al Ahly ya Misri ambayo baadaye ilimtoa kwa mkopo katika…

Read More

YANGA:POLISI TANZANIA WANAKUJA MACHINJIONI

ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao Polisi Tanzania wanawafuata machinjioni Uwanja wa Mkapa jijini Dar hivyo wajiandae ‘kufa’. Yanga kwenye msimamo ipo nafasi ya kwanza ikiwa imekusanya pointi 38 baada ya kucheza mechi 15 mchezo wake uliopita Uwanja wa Mkapa ulikuwa ni wa Kombe la Shirikisho na iliibuka na ushindi wa…

Read More

BOSI SIMBA: MANZOKI NDIYO, BOBOSI HAPANA

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefichua ni kweli kuna mipango inafanyika kumhusu Cesar Lobi Manzoki raia wa DR Congo, lakini akaweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna lolote kati yao na Bobosi Byaluhanga raia wa Uganda. Manzoki na Bobosi wamekuwa kwenye rada za Simba tangu kipindi cha usajili wa dirisha kubwa ambapo…

Read More

NABI: TULIENI, HAO WAARABU NAWAJUA NJE NDANI

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kupangwa na US Monastir FC ya nchini Tunisia katika kundi moja hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga imepangwa pamoja katika Kundi D, zikiwa na timu za Union Sportive Monastery ya nchini Tunisia, TP Mazembe ya DR Congo na Real…

Read More

MZUNGUKO WA PILI YANGA KUJA KIVINGINE

CEDRIC Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mzunguko wa pili watakuwa tofauti kwenye upande wa kasi ya ufungaji wa mabao pamoja na ulinzi. Timu hiyo imekamilisha mzunguko wa kwanza ikiwa imepoteza mchezo mmoja kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu na inaongoza ligi ikiwa na pointi 38. Kaze amesema kuwa kukamilisha mzunguko wakiwa wanaongoza…

Read More

SIMBA NDANI YA MWANZA KUIVUTIA KASI GEITA GOLD

KIKOSI cha Simba kina kazi ya kusaka ushindi Desemba 18,2022 Uwanja wa CCM Kirumba mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold. Mchezo huo ni wa kwanza kwa mzunguko wa pili kwa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda. Mapema leo Desemba 16 kikosi hicho kimewasili Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya mwisho…

Read More

FEI, MAYELE KUIBUKIA POLISI TANZANIA

CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema moja ya sababu iliyowafanya wasitumie wachezaji wote kwenye mchezo wao dhidi ya Kurugenzi FC ni kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania. Yanga ambao ni mabingwa watetezi kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho waliibuka na ushindi wa mabao 8-0 huku…

Read More

MWAMBA WA LUSAKA KAKIMBIZA NA HUKU PIA

CLATOUS Chama kiungo wa Simba amewafunika viungo wote ndani ya timu tatu zilizo ndani ya tatu bora kwenye kutoa pasi nyingi za mabao kwenye mchezo mmoja wa Kombe la Shirikisho. Vigogo Yanga, Azam hizi kweye ligi zinapambana kujenga utawala wao ambapo kinara wa pasi za mwisho ni Clatous Chama mwenye pasi 8 na mabao mawili…

Read More