
KOCHA MAZEMBE AINGIA MCHECHETO
KOCHA Mkuu wa TP Mazembe mwenye uraia wa Ufaransa, Franck Dumas amesema kuwa ubora wa wachezji wa Yanga kama Aziz Ki na Fiston Mayele ni sababu ya wao kuwa siriazi ili kupata matokeo. TP Mazembe wanatarajiwa kucheza na Yanga Jumapili katika Uwanja wa Mkapa ukiwa ndio mchezo wao wa kwanza ugenini mara baada ya kuanza…