
HII HAPA MITAMBO YA MABAO KUTOKA KARIAKOO
NDANI ya Ligi namba nne kwa ubora Afrika kuna mashine za kazi eneo la ushambuliaji ambazo zimekuwa kwenye mwendo mzuri kutoka kikosi cha Simba ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Vita sio nyepesi kwenye eneo la ushambuliaji ambapo mabingwa watetezi Yanga wao pointi zao kibindoni ambazo ni 58 ni saw ana idadi ya mabao…