YANGA YACHAPA MTU BAO 8-0 KWA MKAPA

KAMPENI ya kutetea ubingwa wa Kombe la Azam Sports Federation umeanza kwa ushindi mbele ya Kurugenzi. Ni Yanga ambao ni watetezi wameibuka na ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Kurugenzi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Shukrani kwa Clement Mzize ambaye amefung bao la mapema ndani ya Kombe la Shirikisho dakika ya kwanza na aliibuka…

Read More

MABINGWA WATETEZI KUTUPA KETE YAO KWA MKAPA

KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Desemba 11 kitakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho dhidi ya Kurugenzi. Nabi hatakuwa kwenye benchi kwa kuwa anatumikia adhabu yake ya kufungiwa mechi tatu hivyo ni Cedric Kaze ambaye ni kocha msaidizi atakaa kwenye benchi. Tayari…

Read More

HAYA HAPA MAMBO YALIYOMUONDOA CEO BARBARA

OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzales, jana Jumamosi alifikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yake hiyo, huku akitoa sababu kuu mbili nzito za kufikia uamuzi huo. Barbara amehudumu kwenye nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka miwili tangu Novemba 17, 2020 akichukua nafasi ya Senzo Mbatha. Katika taarifa ambayo aliitoa Barbara, alisema: “Leo (jana Jumamosi) nimeandika…

Read More

BINGWA MPYA WA TFF BONANZA APATIKANA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi Kombe Mabingwa wa 3rd TFF Media Day Bonanza 2022 Uhuru Media na kuweka wazi kuwa wakati ujao kutakuwa na maboresho zaidi. Uhuru Media imepata ushindi huo kwa kuwatungua bao 1-0 Online Media kwenye Bonanza ambalo limefanyika Uwanja wa Gwambina. Moja ya fainali iliyokuwa…

Read More

SIMBA KAMILI KUVAANA NA WAJEDA, REKODI ZAO ZINAWATESA

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wake Eagle kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho yapo tayari. Hawa ni Wajeda wanakabiliana na Simba ambayo iliukosa ubingwa huo mwaka jana 2021 na mabingwa walikuwa ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Simba haijawa na mwendo…

Read More

MSHINDI WA PROMOSHENI YA BETI NA KITOCHI MERIDIANBET

Kila mmoja ana ndoto kubwa ya kumiliki vitu vizuri, lakini vikwazo vya Maisha na bajeti kubana hukwamisha ndoto ya wengi kumiliki vitu wanavyovitaka, kwa kulitambua hili kampuni ya Meridianbet waliamua kurahisha mipango yako, kwenye promosheni ya shinda TV ukibeti na kitochi. Ilichukua siku kadhaa mpaka kumpata Bingwa wa kubeti na kitochi mwanafamilia wa Meridianbet anayejulikana…

Read More

AZAM FC KUTUPA KETE YAO DHIDI YA MALIMAO

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Azam Sports Federation leo dhidi ya Malimao. Huu ni mchezo wa raundi ya Pili ambapo Azam FC itakuwa mwenyeji kwenye mchezo wa leo Desemba 9 2022 unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Ongala amebainisha kuwa…

Read More