
AZAM FC YAKATA TAMAA ISHU YA UBINGWA
KAIMU Kocha Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa kushindwa kupata matokeo chanya kwenye mechi tatu kunawaondoa kwenye mbio za ubingwa. Matajiri hao wa Dar mzunguko wa pili umekuwa ni mgumu kwao kupata matokeo ambapo walianza kupata sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar na sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya…