
JKT TANZANIA YAIBANA YANGA VINARA WA LIGI KUU BARA
WAJEDA JKT Tanzania wamevuna pointi moja mbele ya Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa na pointi 46 baada ya kucheza mechi 18 msimu wa 2024/25 kutoka ligi namba nne kwa ubora. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi akiwa ugenini baada ya kuchukua mikoba ya…