
MWAMBA WA LUSAKA ANAJITAFUTA
CLATOUS Chama ni namba moja kwenye kutengeneza pasi za mwisho kwenye ligi akiwa nazo 14 kibindoni na ametupia mabao matatu kwenye nyavu za wapinzani bado anajitafuta kwa sasa. Kwenye msimamo Simba ipo nafasi ya pili na vinara ni watani zao wa jadi Yanga. Ngoma ni nzito kwenye kufunga na kutoa pasi za mwisho kwenye mzunguko…