MAMILIONI KIGANJANI MWAKO NA AVIATOR YA PARIMATCH

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri Parimatch Tanzania imewataka wateja wake kuchangamkia fursa za kuburudika kwa kucheza mchezo rahisi na mwepesi wa Aviator ambao umeshika kasi kwa kupendwa na wadau wengi wa kubeti ndani ya Kasino ya Parimatch. Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa Parimatch, Ismael Mohamed wakati alipokuwa akizungumza jijini Dar es Salaam na kusema…

Read More

SIMBA HESABU KUBWA KWA AL AHLY

ZIKIWA zimesalia takribani siku nane kabla ya Simba hijacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya African Football League, uongozi wa timu hiyo umesema watawaonesha wapinzani wao kwamba Simba ni timu ya aina gani. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kisha marudiano Oktoba 24,…

Read More

TUNA INFANTINO, MOTSEPE,KWA MKAPA, TUWAPE UJUMBE SAHIHI

SIMBA wanashiriki michuano ya African Football League ambayo inafanyika kwa mara ya kwanza katika historia ya mpira wa Afrika. Simba ndio timu pekee kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki ambao wanakuwa wawakilishi katika ukanda huo. Si jambo dogo, tunapaswa kujivunia sana kwa kuwa majirani zetu kama Kenya, Uganda, Rwanda na wengine wangetamani sana kufikia hapo tulipo….

Read More

SIMBA YAITISHA AL AHY

ZIKIWA zimesalia takribani siku nane kabla ya Simba hijacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya African Football League, uongozi wa timu hiyo umesema watawaonesha wapinzani wao kwamba Simba ni timu ya aina gani. Mhezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kisha marudiano Oktoba 24,…

Read More

PACOME ATUMA SALAMU SIMBA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua, amesema hatabweteka na mabao matatu aliyoyafunga katika Ligi Kuu Bara msimu huu, huku akipanga kuendelea na mwendelezo mzuri wa kufunga kwenye michezo ijayo. Kauli hiyo huenda ikawa salamu kwa mshambuliaji wa Simba Mkongomani, Jean Baleke ambaye ni kinara wa mabao katika Ligi Kuu Bara akifunga…

Read More

MASTAA WAPIGWA MKWARA YANGA

INATAJWA kuwa mastaa wote waliopo kikosi cha Yanga ikiwa  ni pamoja na nyota watano ndani ya kikosi cha Yanga wameambiwa wanapaswa kuonyesha uwezo wao kwenye mechi zao zijazo ili kuendelea kupata namba katika kikosi hicho. Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi imecheza mechi tano za Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya tatu na pointi…

Read More

SIMBA YATOA TAMKO ISHU YA WAAMUZI BONGO

WAKIWA wanaongoza ligi na pointi zao 15 kibindoni baada ya kucheza mechi tano, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amewakingia kifua waamuzi kwa kubainisha kuwa kila mmoja anatimiza majukumu yake. Simba kwenye mchezo wake wa tano dhidi ya Singida Fountain Gate uliochezwa Uwanja wa Liti, ilishuhudia ubao ukisoma Singida Fountain Gate 1-2 Simba….

Read More

SIMBA WAWAPIGIA HESABU AL AHLY

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Al Ahly maandalizi yapo sawa na hesabu kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo huo. Ahmed Ally, Meneja Habari wa Idara ya Mawasiliano Simba amesema mchezo huo utachezwa Uwanja wa Mkapa na kutakuwa na burudani kubwa kwa mashabiki watakaojitokeza. “Mechi itachezwa saa 12:00…

Read More

KUBEBA MATOKEO MFUKONI KUTAWAPOTEZA KIMATAIFA

KILA timu imeshatambua mpinzani wake kwenye  Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupangwa. Kila timu imetambua ni wapinzani wa aina gani ambao itakabiliana nao kwenye mechi za kimataifa. Kufika kwenye hatua hiyo ni muhimu kuwapa pongezi wahusika kwa kuwa walipambana kufikia malengo. Yanga na Simba kazi kubwa walifanya katika kupata matokeo. Kwa yaliyotokea mpaka kuwa…

Read More