YANGA SC KAMILI KUIKABILI JKT TANZANIA MEI 18 2025

Khalid Aucho amerejea uwanja wa mazoezi kamili kwa kazi kuwakabili JKT Tanzania. Yanga SC ni mabingwa watetezi wa taji hilo Pacome kiungo wa kazi anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaotoa burudani, Mkwakwani Tanga YANGA SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi ipo kamili kuwakabili wapinzani wake kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya JKT…

Read More

YANGA SC 3-0 NAMUNGO FC, JASHO ILIVUJA DAKIKA 90

MCHEZO wa mzunguko wa pili uliochezwa Uwanja wa KMC Complex baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga SC 3-0 Namungo FC huku jasho likiwavuja wachezaji kwenye kutimiza majukumu yao. Hapa tunakuletea baadhi ya walichokifanya wachezaji wa timu zote mbili katika kutimiza majukumu yao ilikuwa namna hii:- Djigui Diarra  Djigui Diara alisepa na dakika 90 na…

Read More

AZAM FC YAIPIGA MKONO DODOMA JIJI

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamekomba pointi tatu mazima kwa kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Mei 13 2025, Azam Complex. Lusajo Mwaikenda alifungua ukurasa dakika ya 6, Abdul Sopu bao la pili dakika ya 17, Gibril Sillah bao la tatu dakika ya 20, Nasor…

Read More