
OGOPA MAPAPELI SALAH HAUZWI
JURGEN Klopp amesema kuwa Liverpool bado hawajapokea ofa kutoka Saudi Arabia kwa ajili ya Mohamed Salah, huku akisisitiza kuwa staa huyo ambaye amejitolea kwa 100% klabuni hapo hauzwi. Salah, 31, anawavutia mabingwa wa Saudi Pro League, Al Ittihad, ambao wanaripotiwa kuandaa dau la pauni milioni 100 ili kumng’oa Anfield majira haya ya joto. Hata hivyo…