Meridianbet Yaendeleza Burudani Na Trick or Treat Bonanza

Baada ya msimu wa Halloween kufunga pazia, Meridianbet inaendelea kuonyesha kuwa burudani za kidijitali hazifungwi na kalenda. Kupitia mchezo wa Trick or Treat Bonanza, jukwaa hili linageuza mandhari ya msimu uliopita kuwa uzoefu endelevu wa burudani, likisisitiza ubunifu, ubora wa picha na simulizi linalovutia bila kutegemea sherehe za muda mfupi. Mchezo huu unamchukua mchezaji hadi…

Read More

Waziri Makonda Afanya Mazungumzo na Rais wa FIFA Gianni Infantino Morocco

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA) Bw. Gianni Infantino katika ofisi za FIFA zilizopo Jijini Rabat, nchini Morocco. Katika mazungumzo hayo Mheshimiwa Makonda amemshukuru Bw. Infantino kwa ushirikiano mkubwa anaoutoa kwa Tanzania katika maendeleo ya mchezo wa mpira wa…

Read More

CAF Yamsimamisha Kocha wa Senegal Pape Thiaw Baada ya Tukio la Fainali ya AFCON 2025

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana kocha wa timu ya taifa ya Senegal, Pape Thiaw, kufuatia tukio la kuwahimiza wachezaji wake kutoka nje ya uwanja wakati wa mechi ya fainali ya AFCON 2025. Tukio hilo lilitokea baada ya mwamuzi kuamua mkwaju wa penalti dakika za mwisho, ambayo ilionekana kuwa ya utata…

Read More

CAF Yafuta Rasmi Michuano ya CHAN, Mabadiliko Makubwa Yatarajiwa Afrika

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza rasmi kufuta Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), hatua inayokuja kufuatia changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika maandalizi ya mashindano hayo. Tangazo hilo limetolewa na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe, wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Morocco Jumamosi, Januari 17. Akizungumza mbele ya…

Read More