MANCHESTER UNITED YAPIGWA 5 G

MOHAMED Salah Mwafrika ambaye anawatesa Wazungu ndani ya Ligi Kuu England pamoja na mashindano mengine kwa sasa yeye ni wakucheka na minyavu tu ameongoza kilio leo kuelekea Manchester United. Kwenye mchezo wa Ligi Kuu England ambao umechezwa leo Uwanja wa Old Trafford ubao umesoma Manchester United 0-5 Liverpool. Mabao ya Naby Keita ambaye alifungua pazia…

Read More

SALAH AGOMA KUSEPA LIVERPOOL

STAA wa Liverpool raia wa Misri, Mohamed Salah ameweka wazi kuwa kwa sasa hafikirii kuondoka ndani ya Liverpool na badala yake anahitaji kumaliza soka akiwa ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp. Salah amebainisha kuwa ikitokea siku akasepa ndani ya timu hiyo kisha siku akacheza na timu ambayo amehamia kwa wakati huo…

Read More

RONALDO APIGA MKWARA MZITO

STAA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametembeza mkwara mzito kwa kubainisha kwamba atawafunga mdomo wale wanaoikosoa timu hiyo kwa sasa. Ronaldo ambaye ni ingizo jipya ndani ya United ambapo aliibuka huko akitokea ndani ya kikosi cha Juventus amebainisha kwamba anachukia kuona timu hiyo inafeli. Nyota huyo anaamini kwamba timu hiyo inapitia kipindi kigumu kwa muda…

Read More

KWA KUITUNGUA UNITED,DAKA APEWA TANO NA RAIS

HAKAINDE Hichilema, rais wa Zambia amempongeza kijana wake anayekipiga ndani ya Leicester City, Patson Daka kwa kuwatungua Manchester United kwenye ushindi wa mabao 4-2 katika mchezo wa Ligi Kuu England.   Hichilema ameweka wazi kuwa kazi ambayo imefanywa na Mzambia huyo ni nzuri na wanajivunia kuwa na kijana ambaye anatimiza majukumu yake kwa umakini jambo…

Read More