
CITY YATINGA NUSU FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE
MANCHESTER City inayonolewa na Kocha Mkuu,Pep Guardiola inatinga hatua ya nusu fainali baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Atletico Madrid. City inakata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali ya UEFA Champions League ikiwa katika Uwanja wa Wanda Metropolitan kwa jumla ya bao 1-0 . Manchester City beki wao John Stones amesema…