>

RUSHA KETE NA UJIPATIE MSHIKO WA KUTOSHA KUTOKA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET

Sloti Ya Titan Dice Anza siku yako ukicheza mchezo wa Titan Dice kwa kujikusanyia mkwanja wa kutosha na kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Nafasi ya kuweka siku yako kuwa bomba kwa kuchangamkia bonasi na ushindi mkubwa kupitia Meridianbet. Michezo ya Dice (kete) imekuwepo kwa muda mrefu. Kihistoria, mchezo huu ulianzia China. Waandaaji wa kisasa, Expanse…

Read More

MERIDIANBET WAONGOZA ZOEZI LA USAFI UPANGA

Kampuni ya meridianbet imeongoza zoezi la usafi katika maeneo ya bustani inayomilikiwa na serikali Upanga, Mtaa wa Charambe. Serikali ya mtaa wa Charambe pia ilishiriki zoezi hili.   Kampuni hii imeshirikisha wadau mbalimbali wanaozunguka eneo hilo, wakiwemo wafanyakazi na wafanyabiashara wa maeneo hayo. Serikali ya mtaa, ikiwakilishwa na mwenyekiti na mtendaji nao walishiriki kuunga mkono…

Read More

KUTOKA KWENYE SIMULIZI ZA KNUD, MPAKA KWENYE USHINDI MKUBWA MERIDIANBET!

Turejee kutoka kwa mbobevu wa simulizi za Eskimo bwana Knud mpaka kwenye uhalisia wa ushindi wa kasino ya Mtandaoni kwenye Book of Eskimo, kutoka Expanse Studio, pale Meridianbet.   Bila shaka kila mmoja anapenda kusikia watu wakismuliana stori kuhusu uthubutu wake na ushujaa alionao – ila hii haitokei pale usipokuwa mshindi! Kasino ya Meridianbet inakusogeza…

Read More

MERIDIANBET WAWATEMBELEA SOBER HOUSE KIGAMBONI

Meridianbet kama ilivyo desturi na utamaduni wao wamekuwa wakijitahidi kushirikiana na jamii na kusaidia makundi yenye uhitaji na yanayokumbwa na changamoto mbalimbali. Jana Meridianbet waliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya wanaopambana kuachana na matumizi ya madawa hayo chini ya taasisi ya Pillimissana Foundation huko Kigamboni. Taasisi hiyo imeanzishwa takribani miaka kumi iliyopita, ikijishughulisha na watu…

Read More

ROCK ‘N’ ROLL NA KUSHINDA OFA NA MIZUNGUKO YA BURE NA SLOTI NA FOREST ROCK

Sloti ya Forest Rock           Je, unajua kuwa wanyama pori wanaweza kukuletea ushindi? Ndio! Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet yote hayo yanawezekana. Meridianbet inakuletea sloti mpya yenye maudhui ya Rock ‘n’ Roll iliyotengenezwa na watengenezaji maarufu wa sloti- Expanse Studio iitwayo Forest Rock. Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu…

Read More

KUPITIA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET, SLOTI YA STICKY 777 INAWEZA KUKUPA FAIDA KUBWA!

Sloti ya Sticky 777 imetengenezwa katika mfumo wa sloti za zamani. Inapambwa kwa alama zilizopangwa vizuri zikiwa na rangi ang’avu zinazomsaidia mchezaji kuona vizuri ushindi na thamani ya alama hizo wakati wote wa mchezo. Sanjari na hilo, Sloti ya Sticky 777 inamfumo wa muziki ambao unaongeza burudani kwa mchezaji wa sloti hii. Tunapozungumzia umuhimu wa…

Read More

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2022 HAYA HAPA

Unguja. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87. Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana….

Read More