
JKT TANZANIA YATUMA UJUMBE MZITO YANGA SC CRDB FEDERATIN CUP
OFISA Habari wa JKT Tanzania, Masua Bwire amesema kuwa watapambana kwenye mashindano yote ambayo wanashiriki kupata matokeo mazuri ikiwa ni pamoja na mchezo wao wa CRDB Federation Cup wakiwa hatua ya nusu fainali. JKT Tanzania kwenye CRDB Federation Cup imetinga hatua ya nusu fainali na inatarajiwa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya fainali dhidi ya…