Yanga SC kuzindua uzi mpya leo Novemba 19,2025
RASMI uongozi wa Yanga SC umetangaza kuwa utazindua uzi mpya maalumu kwa ajili ya mechi za CAF Champions League leo Novemba 19,2025. Yanga SC inapeperusha bendera ya Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika ipo hatua ya makundi na mchezo wa kwanza unatarajiwa kuchezwa Novemba 22, 2025 Uwanja wa New Amaan Complex dhidi ya FAR Rabat…