Rais Samia: Nafasi ya Waziri Mkuu si ya ndugu wala rafiki, ni ya Watanzania – Video
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kutumia nafasi aliyopewa kuwatumikia Watanzania wote bila upendeleo wa aina yoyote. Akizungumza leo Novemba 14, 2025 jijini Dodoma wakati wa hafla ya kumuapisha Dkt. Mwigulu, Rais Samia alisema nafasi hiyo ni ya kitaifa na siyo ya marafiki, ndugu…