Saleh

Timu Zenye Injuries Nyingi Premier League 2025/26

Msimu huu wa Premier League, baadhi ya timu zinakabiliwa na changamoto kubwa ya majeraha yanayoathiri utendaji wao dimbani. Hizi ndizo timu zinazoongoza kwa idadi ya majeraha hadi sasa: 💎 Manchester City – 16 injuries 🚑 🐓 Tottenham Hotspur – 16 injuries 🚑 🧿 Chelsea – 14 injuries 🚑 🕊 Brighton & Hove Albion – 13…

Read More

Bayern, Juve, Barca, Liverpool… Mechi Zote Leo Zipo Meridianbet – Chagua Ushindi Wako!

Huku wikendi ikiendelea kuwa ya moto, wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa unaweza kumiliki gari ya ndoto yako kwa kubashiri hapa pekee kwani kuna machaguo unayoyataka. LALIGA kule Hispania kitawaka pia, FC Barcelona atakipiga dhidi ya Athletic Bilbao ambao wanashika nafasi ya 7 huku Barca wao wakiwa nafasi ya 2. Ushindi huu ni muhimu…

Read More

Meridianbet Yaendelea Kuthibitisha Uongozi Katika Kujenga Jamii Yenye Ustawi Zaidi

Kuonyesha dhamira yake isiyoyumba ya kuwa sehemu ya suluhisho katika changamoto za kijamii, kampuni ya Meridianbet imeendeleza msururu wa miradi yake ya kusaidia jamii kwa kugawa vyakula kwa familia zenye uhitaji katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam. Hatua hii inathibitisha kwamba kampuni hiyo haishughuliki tu na michezo ya kubahatisha, bali pia ni nguzo muhimu…

Read More

Simba SC yapiga hesabu kumalizana na Petro de Luanda

Simba SC vs Petro de Luanda Novemba 23,2025 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa kwanza hatua ya makundi, uongozi wa wenyeji umepiga hesabu kuvuna pointi tatu. Kutoka kundi D mchezo wa kwanza Simba SC itakuwa nyumbani na tayari Novemba 20,2025 walizindua jezi mpya ambazo zitatumika kwenye mashindano hayo zikiwa na nembo ya CAF. Ahmed…

Read More

Hii Hapa Orodha ya Washindi wa Tuzo za CAF 2025 Zilizofanyika Morocco

Sherehe za utoaji wa Tuzo za Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF Awards 2025) zimefanyika kwa kishindo na kushuhudia wachezaji, makocha, marefa na timu mbalimbali zikitambuliwa kwa mafanikio ya mwaka. Mwaka huu Morocco imeendelea kung’ara kwa namna ya kipekee katika tuzo nyingi, huku Afrika Mashariki pia ikipata mwakilishi kupitia bao la mwaka. Washindi wa Tuzo…

Read More

Shinda Samsung A26 Leo Jumatano kwa Kubashiri Rahisi Kupitia *149*10#

Bila Intanenti ni rahisi kabisa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kushindania Samsung A26 na Meridianbet leo. Jumatano ya Zawadi ipo kwaajili yako siku ya leo inaweza kukupa furaha sana. Jumatano hii haifanani na nyingine yoyote. Ni siku ambayo Meridianbet inawasha moto wa bahati kwa njia ambayo haijawahi kutokea. Kwa mara nyingine tena, wateja wote wanaopenda kubashiri…

Read More

Tvbet Na Meridianbet Kubadili Jinsi Wabashiri Wanavyoburudika Mtandaoni

Kasino mtandaoni imepata sura mpya nchini, na hilo linathibitishwa na Meridianbet kupitia kuanzishwa kwa TVBET, jukwaa linaloleta burudani ya kiwango cha juu kwa mchezaji wa kisasa. Katika zama ambazo watu wanataka kila kitu kiwe haraka, halisi na kinachopatikana kirahisi, TVBET imekuja kujibu mahitaji hayo kwa mtindo wa kipekee. Tofauti kubwa ya TVBET iko kwenye nguvu…

Read More