LIGI Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC inaendelea leo Novemba 21 kwa mechi mbili kali kuchezwa katika viwanja tofauti.
Kwa sasa ni raundi ya 7 ambapo timu zinaendelea kupambania kuvuna pointi tatu na mabingwa watetezi ni Yanga SC.
Saa 10:00 jioni, KMC FC vs JKT Tanzania, Uwanja wa KMC Complex.
Saa 1:00 usiku, Namungo FC vs Dodoma Jiji FC, Uwanja wa Majaliwa.
Zote zitakuwa live kupita AzamSport1HD.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.