Ndala achaguliwa kuwa mwamuzi wa fainali ya AFCON 2025
Jean-Jacques Ndala, mwamuzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ndiye atakayechukua jukumu la kuongoza mechi ya fainali ya AFCON 2025 kati ya Senegal na Morocco. Ndala aliwahi pia kuongoza mechi ya ufunguzi ya mashindano hayo kati ya Morocco na Comoros, na ameonyesha uzoefu mkubwa kwenye michuano ya kimataifa. Seti ya Waamuzi wa Fainali Mwamuzi…