NGUMU KUMFANANISHA SALAH NA RONALDO
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool ambaye anaamini kwamba nyota wake Mohamed Salah ni moja ya wachezaji bora kwa sasa duniani ila ni ngumu kumfananisha na Cristiano Ronaldo ambaye anakipiga ndani ya Manchester United. Miamba hao wawili wanakiwasha ndani ya Ligi Kuu England huku ile safu ya ushambuliaji ya Liverpool ikiwa ni namba moja kwa…