CHELSEA WATEMBEZA 7 G HUKO BILA LUKAKU
UWANJA wa Stamford Bridge leo Oktoba 23 umekusanya jumla ya mabao 7 ambayo yamefungwa na Chelsea wakiikandamiza Norwich City katika mchezo wa Ligi Kuu England. Mason Mount alitupia hat trick yake kwa kupachika mabao dakika ya 8,85 kwa penalti na dakika ya 90 huku mengine yakipachikwa na Callum Hudson-Odoi dakika ya 18, Reece James…