UNAI ATAJWA NEWCASTLE UNITED
UNAI Emery, Kocha Mkuu wa Villarreal amewaambia mabosi wa timu hiyo kwamba Klabu ya Newcastle United inaonekana kumuhitaji licha ya kwamba hawajapeleka ofa kwa wakati huu. Kocha huyo inaelezwa kuwa atachukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa Newcastle United, Steve Bruce ambaye alifungashiwa virago kwenye timu hiyo baada ya timu hiyo kupata wawekezaji wapya mwezi…