
VIJANA REAL MARDRID WAFICHUA SIRI ZA UBINGWA
REAL Madrid ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) na Supercup ya Hispania msimu huu wa 2021/22, na mafanikio yao yana siri nyuma yake. Baada ya msimu wa 2020/21 ambao ulimalizika bila mataji na baada ya kuondoka kwa watu wawili muhimu kikosini – Zinedine Zidane na Sergio Ramos –…