
MAPUMZIKO:SIMBA 1-0 KAGERA SUGAR
MOSES Phiri amefunga bao la kuongoza kwa Simba kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar dk ya 42 kwa pigo la kichwa baada ya nyota Clatous Chama kupiga faulo iliyogonga mwamba. Mchezo huo ni wa kasi kubwa kwa timu zote kucheza kwa tahadhari kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Nyota wa Kagera Sugar, Apolinary ameonyeshwa kadi…