
ST GEORGE SC MABINGWA WA ETHIOPIA KUCHEZA NA SIMBA
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Ethiopia, Saint George S.C watakuwa Dar kwenye mchezo wa Simba Day Agosti 8. Siku hiyo itakuwa ni maalumu kwa ajili ya Klabu ya Simba kuweza kutamulisha wachezaji wapya pamoja na uzi mpya. Pia itakuwa ni siku ya kutambulisha benchi jipya la ufundi ambapo kwa sasa Kocha Mkuu ni Zoran Maki…