Selemani Kidunda Apata Cheti cha Ukocha wa Ngumi Kimataifa
Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, Selemani Kidunda, ameongeza hadhi nyingine katika taaluma yake ya michezo baada ya kuhitimu rasmi kozi ya ukocha wa mchezo wa ngumi. Kidunda sasa ni kocha wa kimataifa wa ngumi mwenye hadhi ya daraja la nyota moja (One Star International Coach), cheo kinachomtambua kama kocha mwenye sifa za…