
KAZI KIMATAIFA BADO NI NGUMU
MECHI za awali zimeanza kwenye mechi za kimataifa na tunaona wawakilishi wa Tanzania wameanza kupata matokeo chanya katika mechi za awali. Pia zipo ambazo zimepata matokeo ambayo walikuwa hawayahitaji wala kuyatarajia ni muhimu kupanga mipango upya kwa ajili ya mechi zijazo. Kila hatua ambayo inapigwa ni muhimu kufanya maandalizi mazuri kwa kuwa hakuna matokeo yanayopatikana…