
HUYU HAPA MKALI WA KUTUPIA BONGO
MZAWA namba moja kwa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara ni Sixtus Sabilo anayekipiga ndani ya Mbeya City inayotumia Uwanja wa Sokoine kwa mechi za nyumbani. Kibindoni katupia mabao 7 ambapo mchezo uliopita mbele ya Coastal Union kwenye sare ya kufungana mabao 2-2 alitupia mabao yote mawili kimiani. Ilikuwa dakika ya 39 na dakika ya…