Saleh

AZAM FC YASEPA NA POINTI TATU ZA SIMBA

AZAM FC wameupiga mpira mwingi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Simba na kufanikiwa kusepa na pointi tatu mazima kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Pongezi kwa Prince Dube ambaye alifunga bao la ushindi dakika ya 35 kwenye mchezo huo ambapo Simba walikuwa hawapo kwenye ubora wao. Kwenye kila idara Simba leo walikuwa wamezidiwa…

Read More

AIR MANULA ANATUNGULIWA TU MABAO YA MBALI

KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula hana bahati anapokutana na Yanga kwenye mechi za ligi kutokana na kutunguliwa mabao magumu na wapinzani hao wakiwa nje ya 18. Manula msimu wa 2022/23 amekaa langoni kwenye mechi 6 akiyeyusha dakika 540 akiwa hajafungwa kwenye mechi nne na ni mechi mbili kufungwa ilikuwa dhidi ya KMC alipofungwa…

Read More

YANGA KUCHAGUA SIKU YA KUFUNGWA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa watapanga wao lini wafungwe ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na uimara walionao. Kwenye ligi Yanga imecheza mechi 44 bila kufungwa ambapo walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Simba ambao ni watani zao wa jadi. Jana walipata ushindi wa bao1-0 dhidi ya KMC kwenye mchezo…

Read More

KIUNGO WA KAZI ANAREJEA SIMBA

SADIO Kanoute, kiungo mgumu ndani ya kikosi cha Simba hali yake inazidi kutengemaa mdogomdogo baada ya kuugua ghalfa kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Nyota huyo raia wa Mali hakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 23 na kukamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1 kutokana…

Read More

WANNE WA SIMBA KUIKOSA AZAM FC LEO KWA MKAPA

MASTAA wanne wa Simba wanatarajia kuukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC kutokana na sababu mbalimbali. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda leo Oktoba 27,2022 ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mgunda ameweka wazi kuwa maandalizi…

Read More

MKWANJA MREFU SIMBA YAPATA KUTOKA M BET

TIMU ya Wanawake, ya Simba Queens imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiriki ya M Bet wenye thamani ya Tsh. bilioni moja.Kwa mujibu wa Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema kuwa mkataba huo hauingiliani na mkataba wa timu ya wanaume.Sababu kubwa za kuweza kupata…

Read More

ONGALA APIGA HESABU KUIKABILI SIMBA

KALI Ongala, Kocha wa Washambuliaji ndani ya Azam FC amesema kuwa wamefanya maandalizi mazuri kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Simba Kesho Azam FC ikiwa imetoka kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya KMC itakabiliana na Simba, Uwanja wa Mkapa. Ongala amesema anatambua uimara wa Simba nao wanawaheshimu hivyo watawakabili kwa tahadhari….

Read More

AZIZ KI: NINAPENDA KUFUNGA

 AZIZ Ki kiungo mshamuiaji wa Yanga amesema kuwa anapenda kufunga ama kutengeneza nafasi za mabao akiwa ndani ya uwanja. Nyota huyo ni ingizo jipya ndani ya Yanga ambapo alijiunga na kikosi hicho akitokea ASEC Mimosas. Oktoba 23,2022 alifunga bao la pili ndani ya ligi ambapo alimtungua Aishi Manula kwa pigo la faulo akiwa nje ya…

Read More

VIDEO: JEMBE: AZIZ KI BADO SANA ANAHITAJI MUDA

MWANDISHI mkongwe kwenye habari za michezo Jembe ameweka wazi kuwa Kocha Mkuu Nasreddine Nabi akipata nafasi ya kuwatumia mbele Aziz KI na Feisal inaweza kuwa bora kwa kuwa kuwa chini inakuwa haina msaada zaidi ya kucheza faulo na anaweza kupata kadi nyekundu, kiungo Aziz ki bado sana ndani ya Yanga kutokana na ubora wake zaidi…

Read More