
KULE QATAR KUNA LAKUJIFUNZA KWETU PIA
UNAONA namna ushindani ndani ya Kombe la Dunia na kila timu inafanya kweli kupata matokeo baada ya dakika 90 kukamilika? Hakika kuna jambo ambalo lipo kwenye mashindano haya makubwa na kila mmoja anafanya kazi yake kutimiza majukumu yae. Umependa namna Korea Kusini inavyocheza kukamilisha dakika 90 kwenye mchezo wao mmoja wakiwa hawana mambo mengi ndani…