
KANOUTE LAZIMA ABADILIKE,ANAIGHARIMU TIMU
KIUNGO Sadio Kanoute ni lazima abadili uchezaji wake kwenye kutimiza majukumu yake anaigharimu timu, anagharimu afya za wachezaji wake. Ni mchezaji mzuri anafanya kazi ngumu na inayoonekana lakini lazima aongeze umakini kwenye kutimiza majukumu yake. Kuna mikato yake mingine ni hatari kwa usalama wa wachezaji na kadi za njano ambazo anapewa zinaigharimu timu yake. Benchi…