JKT QUEENS MGUU SAWA ANGA LA KIMATAIFA
Baada ya timu ya JKT Queens FC kutoa sare ya pili mfululizo katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Wanawake Afrika, yanayoendelea hatua ya makundi, Ismailia nchini Misri, kocha wa timu hiyo Kessy Abdallah, amewaomba mashabiki wa timu hiyo wawe na amani, kwani, kuelekea mchezo wa mwisho wanaandaa mpango mkakati kuhakikisha timu inakwenda hatua ya nusu…