Ratiba ya mechi zijazo Yanga SC NBC Premier League

BAADA ya Yanga SC 0-0 Simba SC, ndani ya Machi kuna mwendelezo wa mechi 5 za NBC Premier League kwa mabigwa watetezi.

Hapa tumekuletea ratiba hiyo namna hii:-

Machi 5,2026 Singinda Black Stars vs Yanga SC, Uwanja wa Airtel

Machi 12 2026 Tanzania Prisons vs Yanga SC, Uwanja wa Sokoine.

Machi 15 2026 Azam FC vs Yanga SC, Uwanja wa Mkapa.

Machi 18 2026 TRA United vs Yanga SC.

Machi 21 2026 Mtibwa Sugar vs Yanga SC, Uwanja wa Jamhuri.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.