Barcelona Yatolewa Nje ya Copa del Rey Baada ya Kipigo cha Jumla 4-3

Barcelona imefutika kwenye michuano ya Copa del Rey baada ya kipigo cha jumla cha 4-3 dhidi ya Atletico Madrid. Mabao 4-0 waliopokea kwenye mchezo wa kwanza yalichukua nafasi kubwa, licha ya ushindi wao wa 3-0 kwenye marudiano.

Matokeo ya Marudiano:

  • Barcelona 3–0 Atletico Madrid

    • 29’ ⚽ Bernal

    • 45+5’ ⚽ Raphinha

    • 72’ ⚽ Bernal

Jumla ya Mabao (Aggregate): 4–3 kwa faida ya Atletico Madrid.

Hatua inayofuata:

  • Atletico Madrid imetinga fainali na kusubiri mshindi kati ya Real Sociedad na Athletic Bilbao, watakaozichuana Machi 4, 2026, kwenye nusu fainali.