
KMC MAJANGA, MTIBWA IHEFU ZAPETA
WAKIWA Uwanja wa Manungu, Mtibwa Sugar wamekata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Azam Sports Federation. Ni ushindi wa bao 1-0 ambao walipata huku mtupiaji akiwa ni David Kameta, ‘Duchu’ dakika ya 45 kwa mkwaju wa penalti uliowandoa mazima KMC kwenye mashindano. KMC hawana bahati pia kwenye mashindano haya kwa kuwa…