
SIMBA KAMILI KUIVAA HOROYA KIMATAIFA
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ally ameweka wazi kuwa mchezo dhidi ya Horoya utakuwa na ushindani mkubwa ambapo tayari kikosi kimeingia kambini. “Mchezo wetu utakuwa Jumamosi na tayari…