
NIFUATE YA SAMAKIBA YAPAMBA MOTO
KWENYE Nifuate ya Samakiba huku mgeni rasmi akiwa ni rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amekuwa shuhuda ubao ukisoma Timu Samatta 4-2 Timu Kiba. Mchezo huo wa hisani maalumu kwa ajili ya kurejesha kwa jamii umepamba moto huku kila mmoja akionesha ujuzi wake ndani ya uwanja. Mchezo huo wa hisani ulichezwa Uwanja wa Azam Complex…