Kitawaka Kesho Jumapili Manchester United vs Liverpool, Vita ya kufuzu Ligi ya Mabingwa
Manchester United vs Liverpool inatarajiwa kuwa moja ya mechi kubwa zaidi ya msimu, huku pande zote mbili zikiwania nafasi muhimu ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya. Manchester United wanahitaji pointi mbili pekee kuhakikisha wanamaliza katika nafasi ya juu inayowapa tiketi ya Ulaya. Kwa sasa wako nafasi ya tatu, wakiwa mbele ya wapinzani wao kwa pointi…