
MAPUMZIKO YA DHAHABU YASIDUMAZE USHINDANI
WAKATI wa mapumziko kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara ni muhimu kuwa na manufaa kwa kila mmoja kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji. Tumeona kabla ya ligi kusimama kuna baadhi ya timu ambazo zilikuwa kwenye mwendelezo mzuri wa kupata matokeo chanya. Haina maana mapumziko haya yawatoe kwenye ile kasi haitapendeza bali ni muhimu kuendelea pale…