
BOSI MO AIBUKA NA JAMBO HILI SIMBA
BAADA ya kimya cha muda tangu ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-5 Yanga, hatimaye ameibuka bosi wa Simba na kuwaomba mashabiki watulie kipindi hiki cha mpito. Ni Rais wa Heshima wa Simba , Mohamed Dewji amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho kumekuwa na minong’ono ya hapa na pale….