
RAIS WA CAF, MOTSEPE AMPONGEZA WALLACE KARIA KWA KUCHAGULIWA TENA TFF
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kuchaguliwa tena katika nafasi hiyo. Karia ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya ya Shirikisho la soka Afrika CAF, alichaguliwa tena kama Rais wa…