Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa orodha ya waliochukua na kurudisha fomu za kugombea nafasi ya uwenyekiti Simba SC na Ujumbe wa Bodi.
Nafasi ya uwenyekiti ni Anindumi Jonas, Geofrey Nyange, Mohamed Soloka, Murtaza Mangungu, Dkt. Seif Ramadhan, Selemani Haroub na Swedy Mkwabi.
Kwenye nafasi ya ujumbe wa Bodi ya Simba wamejitokeza wagombea 41 na uchaguzi unatarajiwa kutafanyika Januari 30, 2027.
Upande wa wajumbe baadhi ya wagombea ni Aaron Henry Mrina, Abdallah Mgomba, Jonathan Nkya, Said Tully, Saleh Afif, Yusuph Omary, Juma Pinto.
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.
Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.
Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.
Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar
Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4