Hawa hapa wagombea Simba SC

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa orodha ya waliochukua na kurudisha fomu za kugombea nafasi ya uwenyekiti Simba SC na Ujumbe wa Bodi. Nafasi ya uwenyekiti ni Anindumi Jonas, Geofrey Nyange, Mohamed Soloka, Murtaza Mangungu, Dkt. Seif Ramadhan, Selemani Haroub na Swedy Mkwabi. Kwenye nafasi ya ujumbe wa Bodi ya Simba wamejitokeza wagombea…

Read More